Discover millions of ebooks, audiobooks, and so much more with a free trial

Only $11.99/month after trial. Cancel anytime.

Kionjo cha Unafiki
Kionjo cha Unafiki
Kionjo cha Unafiki
Ebook37 pages22 minutes

Kionjo cha Unafiki

Rating: 0 out of 5 stars

()

Read preview

About this ebook

Kionjo cha Ushairi ni neno la kutufaa katika maisha ya mahusiano mema.

James Kemoli Amata alikuwa mwalimu wa (Christian Religious Education na) Kiswahili katika Moi Girls High School, Eldoret (Septemba 1977-1886; Julai 1990-Februari 2000); Wangulu Secondary School, Wodanga (1987-Julai 1990) na St John The Baptist Likuyani Secondary School (Februari 2000-2007).
Akiwa mwalimu aliwahi kuwa mtahini (1976-2001) wa mitihani mbalimbali Insha-KCPE; Christian Religious Education- KJSE; Christian Religious Education- KCE and Insha- KCSE.
Ametunga vitabu mbalimbali kikiwemo Taaluma ya Ushairi akishirikiana na Kitula King’ei na riwaya Kisa cha Zahara Mage.

LanguageKiswahili
Release dateOct 9, 2015
ISBN9781311817914
Kionjo cha Unafiki
Author

James Kemoli Amata

I am a retired secondary school teacher of Kiswahili (and Christian Religious Education) and an excited preventive healthcare marketer with Green World Health Products Company.I am a 1976 University of Nairobi Bachelor of Education [Arts (Hons)] graduate and a freelance content writer with a passion for writing and indeed I am a farmer-like author with many titles.I published my first book in 1985, by traditional publishing. I have tried self-publishing and now I am in great heat to explore E-publishing.However, I will never forget my Taaluma ya Ushairi (with Kitula King’ei) from which the publisher ate fat alone, and happens to be an E-book without my knowledge.As I do my business, I worship God in African Kenya Sabcrynnsk of Soi (Prayer and Healing) Church.

Read more from James Kemoli Amata

Related to Kionjo cha Unafiki

Related ebooks

Reviews for Kionjo cha Unafiki

Rating: 0 out of 5 stars
0 ratings

0 ratings0 reviews

What did you think?

Tap to rate

Review must be at least 10 words

    Book preview

    Kionjo cha Unafiki - James Kemoli Amata

    Kionjo cha Unafiki

    Hakimiliki© James Kemoli Amata, Jumanne, 14 Julai 2015

    Toleo La Smashwords

    Watu wengi wameiba kazi zangu.

    Usiwaige.

    Kwa mujibu wa maadili, wajibu na sheria, haki zote ni za mwandishi.

    ***

    (Toleo La Smashwords, Maelezo Ya Idhini

    Hiki kitabu cha elektoniki kimeidhinishwa kwa minajili ya raha yako ya kibinafsi peke. Hiki kitabu kisiuzwe tena wala kisipewe watu wengine. Iwapo ungependa kukitumia hiki kitabu na mtu mwingine, tafadhali nunua nakala ya ziada kwa kila mpokezi. Iwapo unakisoma hiki kitabu na hukukinunua, au hakikununuliwa kwa minajili ya matumizi yako peke yako, basi tafadhali kirudishe kwa Smashwords.com na ununue nakala yako. Asante kwa kuiheshimu kazi ngumu ya mwandishi huyu.)

    Smashwords Edition, License Notes

    This ebook is licensed for your personal enjoyment only. This ebook may not be re-sold or given away to other people. If you would like to share this book with another person, please purchase an additional copy for each recipient. If you’re reading this book and did not purchase it, or it was not purchased for your use only, then please return to Smashwords.com and purchase your own copy. Thank you for respecting the hard work of this author.

    ***

    Kimetangazwa katika Smashwords na:

    James Kemoli Amata, Alhamisi, 10 Agosti 2015

    ***

    Mtabaruku

    Kwa vote wanaoujali ukweli,

    Wasiotaka unafiki,

    Walio marafiki wa kweli.

    Kwa kitabu hiki

    Shukrani zote nampa Mwenyezi-Mungu,

    Awe Chemchemi ya baraka kwa wasomi wa mashairi,

    Baraka tele awape watakaokisoma kitabu hiki,

    Huku nikiwaomba wakosoaji, wanapokosoa, wasiwe na huruma.

    ***

    Fununu

    Shairi

    Sehemu ya Tuchezee Mashairi

    Sehemu ya Majibu Kielelezo

    Kumhusu Mwandishi Huyu

    Baadhi ya Vitabu Vingine vya Mwandishi Huyu

    ***

    Kionjo cha Unafiki

    James Kemoli Amata

    ***

    ***MOJA***

    Shairi

    1. Nampenda sana Mungu, Aliumba ulimwengu,

    Naelewa ni uchungu, kinapovunjika chungu,

    Mwendo mtu kenda tangu, na

    Enjoying the preview?
    Page 1 of 1