You are on page 1of 7

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI


(PSLE) MWAKA 2014
1.0

UTANGULIZI
Katika Mkutano wake wa 102 uliofanyika tarehe 04/11/2014, Baraza
la Mitihani la Tanzania liliidhinisha kutangazwa kwa matokeo ya
Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi ulifanyika kuanzia tarehe 10
hadi 11 Septemba, 2014. Watahiniwa walifanya mtihani huo kwa
kutumia Karatasi Maalum za Optical Mark Reader- OMR ambazo
zilisahihishwa kwa kutumia Mfumo wa kompyuta. Matumizi ya
teknolojia ya OMR kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi
yalianza mwaka 2012.

2.0

USAJILI WA WATAHINIWA
Jumla watahiniwa 808,085 wa Shule za Msingi walisajiliwa kufanya
mtihani huo wakiwemo wasichana 429,624 sawa na asilimia 53.17 na
wavulana 378,461 sawa na asilimia 46.83. Kati ya watahiniwa
waliosajiliwa, watahiniwa 691 walikuwa ni wenye uono hafifu,
watahiniwa 87 walikuwa ni wasioona, watahiniwa 374 wenye
matatizo ya kusikia, watahiniwa 252 wenye mtindio wa ubongo na
watahiniwa 27 wenye ulemavu zaidi ya mmoja.
Watahiniwa 792,122 sawa na asilimia 98.02 ya waliosajiliwa
walifanya mtihani. Kati yao wasichana walikuwa 422,625 sawa na
asilimia 98.37 na wavulana walikuwa 369,497 sawa na asilimia
97.63. Watahiniwa 15,963 sawa na asilimia 1.98 hawakufanya
mtihani kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo utoro na ugonjwa.
1

Kati yao wasichana ni 6,999 sawa na asilimia 1.63 na wavulana ni


8,964 sawa na asilimia 2.37.
3.0

MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2014


3.1

Ufaulu kwa ujumla


Jumla ya watahiniwa 451,392 kati ya 792,118 waliofanya
mtihani huo wamepata alama 100 au zaidi katika alama 250.
Idadi hii ni sawa na asilimia 56.99 . Kati yao wasichana ni
226,483 ambao ni sawa na asilimia 53.59 na wavulana ni
224,909 sawa na asilimia 60.87. Miongoni mwa watahiniwa
waliofaulu wamo wenye ulemavu 795 (wasichana 355 ambao ni
sawa na asilimia 44.65 na wavulana 440 ambao ni sawa na
asilimia 55.35 ya watahiniwa wote wenye ulemavu waliofanya
mtihani). Mwaka 2013 asilimia ya watahiniwa walipata alama
100 au zaidi ilikuwa 50.61, hivyo kuna ongezeko la ufaulu kwa
asilimia 6.38.
Mchanganuo wa ufaulu katika
umeainishwa katika jedwali lifuatalo:
Daraja
A
B
C
A-C
D
E

3.2

Wavulana

madaraja

Wasichana

Idadi

Asilimia

Idadi

Asilimia

6,378
55,460
163,071
224,909
135,242
9,346

1.73
15.01
44.13
60.87
36.60
2.53

3,953
43,329
179,201
226,483
186,697
9,441

0.94
10.25
42.40
53.59
44.18
2.23

mbalimbali

Jumla
Idadi
10,331
98,789
342,272
451,392
321,939
18,787

Asilimia
1.30
12.47
43.21
56.99
40.64
2.37

Ufaulu Kimasomo
Takwimu za matokeo zinaonesha kuwa ufaulu katika masomo
yote umepanda kwa asilimia kati ya 0.64 na 8.94 ikilinganishwa
na mwaka 2013. Watahiniwa wamefaulu zaidi katika somo la
Kiswahili ambapo ufaulu ni asilimia 69.70 na somo walilofaulu
2

kwa kiwango cha chini zaidi ni Hisabati lenye ufaulu wa


asilimia 37.56. Mchanganuo zaidi katika ufaulu wa masomo
umeainishwa katika jedwali lifuatalo:
SUBJECT
NAME
KISWAHILI
KIINGEREZA
MAARIFA YA
JAMII
HISABATI
SAYANSI

4.0

YEAR

CLEAN

PASSED (A-C)

GRADE D

GRADE E

2013

844,704

583,348

69.06

207,635

24.58

53,721

6.36

2014

791,924

552,003

69.70

198,993

25.13

40,928

5.17

2013

844,678

300,001

35.52

437,695

51.82

106,982

12.67

2014

791,910

307,613

38.84

431,163

54.45

53,134

6.71

2013

844,708

447,657

53.00

347,014

41.08

50,037

5.92

2014

791,938

454,043

57.33

296,592

37.45

41,303

5.22

2013

844,690

241,741

28.62

452,937

53.62

150,012

17.76

2014

791,869

297,411

37.56

387,489

48.93

106,969

13.51

2013

844,570

401,059

47.49

378,834

44.86

64,677

7.66

2014

791,932

434,679

54.89

297,167

37.52

60,086

7.59

SHULE KUMI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI


Shule 10 bora Kitaifa katika PSLE 2014 zimeainishwa katika jedwali
lifuatalo

5.0

NAMBA

JINA LA SHULE

IDADI

MKOA

NAFASI

PS0904095

TWIBHOKI

33

MARA

PS1303065

MUGINI

40

MWANZA

PS1307121

PEACELAND

17

MWANZA

PS1304001

ALLIANCE

25

MWANZA

PS1701035

KWEMA

50

SHINYANGA

PS0501188

ST SEVERINE

53

KAGERA

PS1701064

ROCKEN HILL

58

SHINYANGA

PS0202083

TUSIIME

168

DAR ES SALAAM

PS0702252

IMANI

29

KILIMANJARO

PS1701062

PALIKAS

19

SHINYANGA

10

WATAHINIWA WALIOPATA ALAMA ZA JUU KATIKA MASOMO


Wapo watahiniwa walioweza kufaulu kwa kupata alama 50/50 katika
baadhi ya masomo ambapo English Language walikuwa 7,600,
Kiswahili 32 na Hisabati 34. Ingawa somo la Hisabati lina ufaulu wa
3

chini zaidi kuliko masomo yote, watahiniwa 34 wamepata alama


50/50 katika somo hilo ambapo kati yao Wasichana ni 08 na
Wavualana ni 26 kama ilivyo katika majedwali yafuatayo:
Orodha ya Wasichana waliopata alama 50/50
Hisabati.
S/No
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

NAMBA YA
MTAIHINIWA
PS0203012166
PS0203077020
PS0401041023
PS0501188049
PS0904095021
PS0904095022
PS0904095023
PS1701035041

JINA LA MTAHINIWA

NAMBA YA
MTAHINIWA
1.
PS0202109010
2.
PS0203058021
3.
PS0401043026
4.
PS0501188007
5.
PS0501188013
6.
PS0501188017
7.
PS0501188018
8.
PS0501188022
9.
PS0501188023
10. PS0504092004

MKOA

JINA LA SHULE

RACHEL IBRAHIMU KIUNSI

KIMARA-'B'

MARIAM WILSON CHACHA

PARADIGMS

DAR ES
SALAAM
DAR ES
SALAAM

DIANA PETER NJAU

ST. CHARLES

IRINGA

SOFIA GIDION NGERAGEZA


ANNABHOKE WAMBURA
MAGORI
ATUGONZA NEWTON
KAMZOLA

ST. SEVERINE

KAGERA

TWIBHOKI

MARA

TWIBHOKI

MARA

CATHERINE MOKORO MAGORI

TWIBHOKI

MARA

EDINA NGASSA SHABU

KWEMA

SHINYANGA

Orodha ya Wavulana
Hisabati
S/No

katika somo la

waliopata alama 50/50

JINA LA MTAHINIWA

katika

JINA LA SHULE

somo la

MKOA

OMEGA AMOS LUGATA

SABISA

JOHN REGINALD BUGERAHA


MANSOOR MOHAMED
MALAMBO

MOUNTEVEREST

DAR ES
SALAAM
DAR ES
SALAAM

ST. DOMINICSAVIO

IRINGA

ELIAH DANIEL MAKAMBA


GUSTAVIUS MWOMBEKI
BAGAYA

ST. SEVERINE

KAGERA

ST. SEVERINE

KAGERA

MACHUMU NELSON SAMSON

ST. SEVERINE

KAGERA

MAPATO MAARIFA MAGESA

ST. SEVERINE

KAGERA

OBED LUCAS SAMWEL

ST. SEVERINE

KAGERA

OCTAVIUS IJUMBA MTAYOBA

ST. SEVERINE

KAGERA

DASTAN ADRIAN PIUS

OMUKALIRO

KAGERA

S/No
11.
12.
13.
14.
15.
16.
17.
18.
19.
20.
21.
22.
23.
24.
25.
26.

6.0

NAMBA YA
MTAHINIWA
PS0504092009
PS0504092015
PS0504092016
PS0504092017
PS0504113021
PS0702202029
PS0702202042
PS0904095007
PS0904095017
PS0908004020
PS1101170004
PS1104004004
PS1701035017
PS1703005032
PS2401020013
PS2405080028

JINA LA MTAHINIWA

JINA LA SHULE

MKOA

DICKSON NOVATH NDAULA

OMUKALIRO

KAGERA

MALICK AHMAD KUDABA


MATHIAS GODFREY
LUGALABAMU

OMUKALIRO

KAGERA

OMUKALIRO

KAGERA

MICHAEL JONAS MICHAEL

OMUKALIRO

KAGERA

ROBERT INNOCENT NOEL

TEGEMEO

KAGERA

JUNIOR JOHNSON LOSARU

SCOLASTICA

KILIMANJARO

SAMSON HEAVENLIGHT NKYA

SCOLASTICA

KILIMANJARO

JAMES JOEL NYAROBI

TWIBHOKI

MARA

ROLLY GEDI MABURA


EMMANUEL BENARD
SARUNGI

TWIBHOKI

MARA

BUHEMBA

MARA

HAJI ADAM NJALAMOTO

ST. MARY'S

MOROGORO

ABDULKARIM MIRAJI SAIDI

UHURU

MOROGORO

KISHIMBA MASUNGA SHIMBA


JACKSON PHANUEL
MANGAIDA

KWEMA

SHINYANGA

BUGARAMA

SHINYANGA

MASANJA HEZIRON KABASA

IHULIKE

GEITA

NTOBI PAULO SUMBUKA

KASANDALALA

GEITA

MPANGILIO WA MIKOA NA WILAYA KIUFAULU


(a)Mikoa Kumi iliyoongoza Kitaifa ni
MKOA

IDADI

WALIOFAULU
(A-C)

ASILIMIA

NAFASI

DAR ES SALAAM

59,576

46,434

77.94

KILIMANJARO

37,918

26,192

69.08

MWANZA

53,596

37,017

69.07

IRINGA

21,363

14,650

68.58

ARUSHA

34,348

23,250

67.69

TANGA

39,066

26,261

67.22

NJOMBE

17,115

11,389

66.54

KAGERA

37,306

24,501

65.68

GEITA

27,854

17,560

63.04

MTWARA

25,015

15,608

62.39

10

(b) Wilaya Kumi zilizoongoza Kitaifa ni

7.0

WILAYA

IDADI

WALIOFAUL
U
(A-C)

MPANDA MJI (KATAVI)

1,345

BIHARAMULO (KAGERA)

ASILIMIA

NAFASI

1,207

89.74

2,680

2,389

89.14

MOSHI(M) (KILIMANJARO)

3,565

3,145

88.22

KIBAHA DC (PWANI)

1,532

1,350

88.12

ARUSHA (M) (ARUSHA)

9,097

7,919

87.05

KINONDONI(M) (DAR ES
SALAAM)

11,110

9,533

85.81

KOROGWE VIJIJINI (TANGA)

4,868

4,118

84.59

ILALA(M) (DAR ES SALAAM)

12,091

10,038

83.02

IRINGA(M) (IRINGA)

3,250

2,681

82.49

MJI MAKAMBAKO (NJOMBE)

2,179

1,785

81.92

10

WATAHINIWA WALIOFUTIWA MATOKEO


Baraza la Mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote ya Mtihani wa
Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE), 2014 ya mtahiniwa 01 aliyebainika
kufanya udanganyifu katika mtihani huo. Idadi hii ni ndogo
ikilinganishwa na watahiniwa 13 waliofutiwa matokeo yao mwaka
2013 kwa sababu za udanganyifu.
Baraza linachukua fursa hii kuzipongeza sana Kamati za Uendeshaji
Mitihani za Mikoa, Wilaya na walimu wote waliosimamia mitihani hii
kwa kuzingatia ipasavyo Kanuni za Usimamizi wa Mitihani ya Taifa.
Aidha, Baraza linawapongeza kwa dhati watahiniwa wote waliofanya
Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi, 2014 kwa kutojihusisha na
udanganyifu katika mitihani.

8.0

HITIMISHO
Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi, 2014 yamewekwa
kwenye tovuti za Baraza la Mitihani, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI ili kila mtahiniwa aweze
kuona matokeo yake. Tovuti hizo ni,
www.matokeo.necta.go.tz,
www.necta.go.tz au www.moe.go.tz
www.pmoralg.go.tz
Baraza la Mitihani la Tanzania litawasilisha Matokeo hayo kwenye
Mamlaka zinazohusika ili zifanye uchaguzi wa watahiniwa wa
kujiunga na elimu ya Sekondari. Hivyo, matokeo ya uchaguzi wa
watahiniwa wa kujiunga na Kidato cha Kwanza yatatangazwa na
Mamlaka husika mara baada ya zoezi la uchaguzi kukamilika.

Dkt. Charles E. Msonde


KATIBU MTENDAJI

You might also like