You are on page 1of 2

Linapokuja suala la maendeleo chanya kwa jamii uwa najitahidi kutokuwa na mipaka iwe Tz au

nje ya Tz. Ndani y dodoma au nje y dodoma. Harakati zinasonga no matter conditions.Nilipata
mwaliko wa kikao cha vijana MamboPoa kupitia wall hii, nimeona mijadala iliyoendelea.
ninashauri:
1. mpenda maendeleo anafurahi moyoni anapoona jamii au kundi flani linapowaza jambo la
maendeleo hata km hashirikishwi.
1b. vijana wanahitaji kujengewa uwezo ktk wht is project management cycle.kuibua mawazo y
miradi kuyachambua n kuyaandikis mrad n namna y usimamizi...na njia z tathmini.
2. vijana wanapaswa kujua umoja wao ni nguvu n ni mtaji wao.
3.vijana duniani kote wana sifa ya kuwa na haraka. subira, uvumilivu na kuwa na focus au
shabaha/goal ni siri kubwa ambayo kijana akiitambua akajitambua ..atafanikiwa kw kila issue.
4.waliofanikiwa kusaidia jamii yao, hawakuweka maslahi binafsi mbele.
5. vijana inatubidi tutambue kuna masuala mengi ya kimaendeleo ambayo yana sera, misingi n
taratibu za kisheria. Ili kufanikiwa lazima tuchukue jitihada kubwa kujifunza kw makusudi
kupitia kw yeyote mwenye maarifa hayo no matter age. tufanye mambo kw kufahamu n nn
tunataka kufanya n kw mamlaka yapi.
6. vijana tujifunze nguvu ya kusikiliza na kutafakari na si kila wakati tutake sisi kusema tu.
7. PARTNERSHIP. Ushirika. Sera ya wapenda mabadiliko duniani sasa inajengwa na msingi wa
UMOJA au ushirika (networking). Kw mfano: Wafadhili...wawekezaji..mwanasiasa anayetaka
kupitia daraja la vijana....(serikali) ni rahisi kuwasaidia vijana waliojiunga pamoja kutoka vikund
vidogo vidogo kuliko kila kona kuanzishwa vikundi.
8. Siku zote vijana tujifunze kuwa na BIG PICTURE hata km hali uliyonayo sasa ni duni. Tht it is
matter of time. Lakini pia mtu mwenye maono ya mbali cku zote uwa jamii (esp vijana)
haimuelewi. Mfno matajiri wa leo..wasanii waliofanikiwa leo...wafny biashara wakubwa leo....
"PEOPLE THINK IMPOSSIBLE UNTIL IT IS POSSIBLE"-Mandela
10. HOPE. Kutokukata tamaa ni silaha kubwa.

11. kuwa creative n strategic. "a looser has a lot of excuses...


a failure everyday plans new thng....
"walk ur talk...."tengeneza jina...aminika kw kidogo utaaminiwa kw makubwa...usiahidi nje y
uwezo wako kutimiza...ona n tumia fursa...PESA zitakufuata, pesa haifuatwi inakuja n inapokuja
nobody can block ur passage.....
NB: This is my morning speech.
Niko tayari kusaidia jamii yangu kwa Uhuru; kwa mwenye mawazo na kiu ya mabadiliko chanya.
who is this Joseph Chikaka?
Activist for changes....educationist...
Learned brother....
Amefanya Ualimu, Sheria, Uandishi wa Habari, Sanaa, Ushauri, Uandishi wa miradi, Ufugaji
samaki n Mkulima kilimo cha kutumia greenhouse.
Director General
www.eitf.or.tz
Team Leader
Impact Coach
www.dodomastars.blogspot.com
www.facebook.com/dodoma.stars
Mdau wa Maendeleo @popote

You might also like