Professional Documents
Culture Documents
JUNI, 2016
YALIYOMO
YALIYOMO ................................................................................................................................................. ii
UTANGULIZI ............................................................................................................................................. 1
MAJUKUMU MAKUU YA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA
IDARA MAALUM ZA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR................................................ 4
MUUNDO WA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA
MAALUM ZA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR. ............................................................ 4
MUHTASARI WA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16 ............... 5
MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016. .... 6
TAASISI ZA OFISI KUU (D01).......................................................................................................... 6
IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI ..................................................................................... 7
IDARA YA MIPANGO, SERA NA UTAFITI .................................................................................... 8
OFISI YA AFISA MDHAMINI PEMBA ......................................................................................... 9
IDARA YA URATIBU - TAWALA ZA MIKOA NA ........................................................................ 11
SERIKALI ZA MITAA ......................................................................................................................... 11
IDARA YA URATIBU WA IDARA MAALUM ZA SMZ ............................................................... 12
TUME YA UTUMISHI YA IDARA MAALUM ZA SMZ ............................................................... 13
JESHI LA KUJENGA UCHUMI (JKU) (D02)........................................................................... 14
CHUO CHA MAFUNZO (MF) (D03) .............................................................................................. 15
KIKOSI MAALUM CHA KUZUIA MAGENDO (KMKM) D04 ............................................... 16
KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOZI (KZU) (D05) ............................................................ 17
KIKOSI CHA VALANTIA (KVZ) (D06) ........................................................................................ 19
MKOA WA MJINI MAGHARIBI (D07) ....................................................................................... 20
MKOA WA KUSINI UNGUJA (D08) ........................................................................................... 22
MKOA WA KASKAZINI UNGUJA (D09) ...................................................................................... 24
MKOA WA KUSINI PEMBA (D10).............................................................................................. 26
MKOA WA KASKAZINI PEMBA (D11) ...................................................................................... 28
OFISI YA USAJILI, VIZAZI, VIFO NA KADI ZA UTAMBULISHO (D12)............................. 30
SEHEMU YA PILI ................................................................................................................................... 32
MWELEKEO WA MATUMIZI YA BAJETI INAYOTUMIA PROGRAMU KWA MWAKA WA
FEDHA 2016/2017 .............................................................................................................................. 32
FUNGU (D01) TAASISI ZA OFISI KUU ....................................................................................... 32
IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI ................................................................................... 33
ii
iii
kwa
shughuli
zote
za
Mheshimiwa Spika,
17. Ofisi ya Mrajis wa Vizazi na Vifo ambayo imeunganishwa na Ofisi
ya Usajili na Kadi za Utambulisho katika Ofisi ya Rais, Tawala za
Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kwa mwaka
wa fedha 2015/16 programu ya Ofisi ya Mrajis wa Vizazi na Vifo
imeidhinishiwa jumla ya shilingi 501,641,600/=. Kwa ajili ya
mishahara na matumizi mengineyo. Hadi kufikia Machi Ofisi
imeingiziwa jumla ya Shilingi 276,157,275/= sawa na asilimia
55. Ofisi pia, ilipanga kukusanya jumla ya shilingi
245,000,000/= ikiwa ni mapato ya Serikali. Hadi kufikia Machi
imekusanya jumla ya shilingi 109,241,500/= sawa na asilimia
45 ya makadirio.
MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU KWA MWAKA WA
FEDHA 2015/2016.
Mheshimiwa Spika,
18. Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ imetekeleza majukumu yake kupitia Programu kubwa 28
na programu ndogo 7.
TAASISI ZA OFISI KUU (D01)
Mheshimiwa Spika,
19. Programu kuu nne (4) zinazotekelezwa na Taasisi za Ofisi Kuu ni
kama zifuatazo;
1) Programu ya Uratibu wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa;
2) Programu ya Uratibu wa Idara Maalum za SMZ;
3) Programu ya Usimamizi wa Masuala ya Utumishi katika Idara
Maalum na;
4) Programu ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Mheshimiwa Spika,
26. Baada ya Serikali kuamua usimamizi na ukarabati wa barabara
za ndani mijini na vijijini ufanywe na Mamlaka za SerikaIi za
Mitaa, katika mwaka 2015/2016, Ofisi imefanya matengenezo ya
barabara ya Muembekisonge kwa gharama ya Shilingi
101,016,850/=. Aidha matengenezo ya barabara za Kikwajuni,
Mitiulaya, na Kilimani zenye urefu wa kilomita 1.23 yanaendelea
kwa gharama ya shillingi 585,646,055.88/= .Pia matengenezo ya
barabara itokayo Chake Chake Hospitali-Barabara ya Tibirinzi
Pemba na barabara ya Misufini - Kwabiziredi Unguja yataanza
hivi karibuni. Barabara za ndani za vijijini 30 zenye urefu wa
kilomita 134.69 zimefanyiwa tathmini (75.9km Unguja na
58.7km Pemba). Angalia Kiambatanisho namba 7
Mheshimiwa Spika,
27. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Idara ya Mipango, Sera na
Utafiti iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 295,511,000/= kwa
kutekeleza huduma ndogo ya kwanza na kwa kipindi cha miezi
tisa ilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi 238,762,000/= ikiwa ni
kwa matumizi ya kazi za kawaida. Hadi Machi 2016, iliingiziwa
jumla ya Shilingi 97,352,300/= sawa na asilimia 41.
Mheshimiwa Spika,
28. Aidha, katika kutekeleza huduma ndogo ya pili ya uwekaji wa
Kamera za Ulinzi (CCTV) na vifaa vya ulinzi, Idara iliidhinishiwa
jumla ya Shilingi 10,000,000,000/=. Hadi kufikia Machi 2016
Idara imeingiziwa jumla ya Shilingi 4,124,205,000/= sawa na
asilimia 41.
OFISI YA AFISA MDHAMINI PEMBA
Mheshimiwa Spika,
29. Ofisi ya Afisa Mdhamini ni kiungo kati ya taasisi za Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
zilizopo Pemba ikiwa na jukumu la kuratibu na kusimamia kazi
zote za Ofisi kwa upande wa Pemba.
10
Mheshimiwa Spika,
41. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Idara ya Uratibu wa Idara
Maalum iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 53,883,000/=. Kwa
kipindi cha miezi tisa ilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
44,854,000/= ikiwa ni kwa matumizi ya kawaida na hadi machi
2016, iliingiziwa Shilingi 3,595,000/= sawa na asilimia 8.
TUME YA UTUMISHI YA IDARA MAALUM ZA SMZ
Mheshimiwa Spika,
42. Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za SMZ inatekeleza
Programu ya Usimamizi wa Utumishi katika Idara Maalum.
Tume ina jukumu la kusimamia shughuli za utumishi na
maslahi ya maafisa na wapiganaji wa Idara Maalum za SMZ.
Malengo makuu ya Tume ya Utumishi ni kuhakikisha misingi ya
Utumishi na Utawala bora inazingatiwa na Idara hizo.
Utekelezaji wa Programu kwa Mwaka 2015/2016
Mheshimiwa Spika,
43. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Tume ya Utumishi ya Idara
Maalum za SMZ iliendelea kuimarisha misingi ya utawala bora
katika Idara Maalum na kusimamia utekelezaji wa miundo ya
utumishi (Scheme of Service). Tume imetoa mafunzo ya sheria
zinazoongoza Idara Maalum pamoja na Sheria ya Utumishi wa
umma namba 2 ya mwaka 2011 kwa wapiganaji wapatao 1200.
Mheshimiwa Spika,
44. Katika kusimamia utumishi wa Idara Maalum, Tume imefanya
vikao 5 vya kawaida vilivyojadili utendaji kazi wa Idara Maalum
za SMZ ambapo miongozo ya kiutumishi imetolewa, katika vikao
hivyo Maofisa 6 wameongezewa muda wa Utumishi na 4
wamepewa mikataba ya Utumishi.
Mheshimiwa Spika,
45. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Tume ya Utumishi Idara
Maalum iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 138,000,000/= na kwa
kipindi cha miezi tisa ilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
13
Mheshimiwa Spika,
54. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Idara imeidhinishiwa kiasi cha
Shilingi 7,975,300,000/= na kwa kipindi cha miezi tisa
imejipangia kutumia kiasi cha Shilingi 6,001,267,819/=. Hadi
kufikia mwezi wa Machi imeingiziwa jumla ya Shilingi
6,811,080,140/= sawa na asilimia 113.
KIKOSI MAALUM CHA KUZUIA MAGENDO (KMKM) D04
Mheshimiwa Spika,
55. Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) kina majukumu ya
kulinda usalama wa bahari ya Zanzibar, kuzuia njia zote
zinazoweza kutumika kupitisha magendo, kusaidia usalama wa
baharini ikiwemo abiria, mizigo na watumiaji wengine wa bahari
pamoja na uokozi baharini na kuongoza misafara ya Viongozi
katika shughuli maalum wanapotumia usafiri wa bahari.
Utekelezaji wa Programu kwa Mwaka 2015/2016
Mheshimiwa Spika,
56. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Kikosi Maalum cha Kuzuia
Magendo kimetekeleza Programu ya Usimamizi na Uzuiaji wa
Magendo na Programu ya Utawala na Uendeshaji wa Huduma za
KMKM. Kupitia Programu ya Ulinzi na Uzuiaji wa Magendo,
Kikosi kimekamata magendo ya karafuu kavu kilo 1,725,
Makonyo kilo 1,875 na Sukari kilo 500 ambazo zina thamani ya
shilingi 627,523,200/=.
Mheshimiwa Spika,
57. Kikosi kimefanya ukarabati wa majengo ya kambi za Kibweni
Makao Makuu na kujenga mtaro wa kupitisha maji ya mvua.
Aidha Kikosi kimejenga ukuta kwa ajili ya kuzuia mmongonyoko
eneo la ufukwe, kukarabati majengo Kambi ya Kama, na
umaliziaji wa ujenzi wa nyumba ya Kamanda wa KMKM Wete
Pemba.
Kikosi kimekamilisha ujenzi wa Kituo Kikuu cha
Uzamiaji na Uokozi Kibweni KMKM na kuanza kwa ujenzi wa
Kituo kama hicho Mkoani Pemba.
16
Mheshimiwa Spika,
58. Katika Programu ya Utawala na Uendeshaji wa Huduma za
KMKM, Kikosi kimenunua vifaa kamilifu vya uzamiaji kwa
wazamiaji 28. Aidha vifaa mbali mbali vya mawasiliano
vimenunuliwa kwa gharama ya Shilingi
257,815,000/=. Kikosi
pia kimeendelea kuboresha huduma zinazotolewa kwa wagonjwa
wanaofika katika hospitali ya Kikosi.
Mheshimiwa Spika,
59. Kikosi kimewapatia wapiganaji wake 28 mafunzo ya Uzamiaji na
Uokozi kutoka kwa wataalamu wa Kampuni ya L&W ya
Uingereza. Sambamba na hilo Kikosi kimeanza kutoa mafunzo
kwa wahusika wa maeneo ya vituo vya Uokozi vinavyoendelea
kujengwa Unguja na Pemba.
Mheshimiwa Spika,
60. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Kikosi kimeidhinishiwa kiasi
cha Shilingi 12,953,000,000/= kwa kazi za kawaida na kwa
kipindi cha miezi tisa kilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
10,787,975,040/=. Hadi kufikia mwezi Machi 2016 kimeingiziwa
Shilingi 10,687,975,040/= sawa na asilimia 99 ya makadirio.
Aidha Kikosi kiliidhinishiwa Shilingi 700,000,000/= kwa kazi za
maendeleo na kwa kipindi cha miezi tisa kilikadiria kupata
shilingi 440,000,000/= Hadi kufikia Machi 2016 Kikosi
kimeingiziwa Shilingi 340,000,000/= sawa na asilimia 77.
KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOZI (KZU) (D05)
Mheshimiwa Spika,
61. Kikosi cha Zimamoto na Uokozi kina majukumu ya kusimamia
shughuli zote za uzimaji moto na uokozi wa maisha na mali za
watu wakati wa majanga. Kikosi pia kinasimamia huduma za
Zimamoto kwenye viwanja vya ndege vya Unguja na Pemba. Vile
vile, Kikosi kinatoa huduma za kibinaadamu, ushauri na
mafunzo ya kujikinga na moto kwa wananchi, taasisi za Serikali
na za watu binafsi pamoja na vyombo vya usafiri baharini na
nchi kavu.
17
18
Mheshimiwa Spika,
66. Kikosi kimeshiriki vikao viwili vya Jumuiya ya Afrika Mashariki
juu ya masuala ya majanga na usalama. Aidha kimepatiwa
msaada wa magari matatu, moja kwa ajili ya kubebea wagonjwa,
moja la kuzimia moto na moja la usafiri kutoka Serikali ya
Japan. Pia kikosi kimepokea vifaa mbali mbali vya kuzimia moto
vyenye thamani ya Shilingi 858,550,000/= kutoka jiji la
Hamburg Ujerumani.
Mheshimiwa Spika,
67. Kikosi cha Zimamoto na Uokozi kwa mwaka wa fedha
2015/2016 kiliidhinishiwa kutumia Shilingi 4,313,300,000/= na
kwa kipindi cha miezi tisa kilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
3,224,848,665/= kwa kazi za kawaida, na hadi kufikia mwezi
Machi
2016
Kikosi
kimeingiziwa
jumla
ya
Shilingi
3,815,620,000/= sawa na asilimia 118.
KIKOSI CHA VALANTIA (KVZ) (D06)
Mheshimiwa Spika,
68. Kikosi cha Valantia (KVZ) kina jukumu la kutoa ulinzi kwa
kushirikiana na vikosi vya ulinzi na usalama vya Serikali ya
Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,
kwa kulinda raia na mali zao na kutekeleza shughuli za kijeshi
kwa wakati wa dharura kwa ajili ya kuimarisha usalama wa
nchi.
Utekelezaji wa Programu kwa Mwaka 2015/2016
Mheshimiwa Spika,
69. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Kikosi cha Valantia
kinatekeleza Programu kuu mbili ambazo ni; Programu ya Amani
na Utulivu kwa Raia, Taifa na mali zao na Programu ya
Usimamizi na Utawala wa Kikosi Cha Valantia. Lengo kuu la
programu ya kwanza ni kuhakikisha amani na utulivu kwa raia,
taifa na mali zao inaimarika na Programu ya pili ina lengo la
kuimarisha mazingira ya kufanyia kazi.
19
Mheshimiwa Spika,
70. Kikosi kimefanya doria na kudumisha ulinzi katika vituo mbali
mbali ikiwa ni pamoja na Ofisi za Serikali, taasisi binafsi na
nyumba za viongozi wakuu wa Serikali. Kikosi kimewajengea
uwezo wa kijeshi wapiganaji 25 kwa ngazi ya uongozi mkubwa
na wapiganaji 178 kwa ngazi ya uongozi mdogo. Aidha kikosi
kimeimarisha utoaji wa huduma na mahitaji muhimu kwa
Maofisa na Wapiganaji wake.
Mheshimiwa Spika,
71. Kikosi cha Valantia kwa mwaka wa fedha 2015/2016
kiliidhinishiwa jumla ya Shilingi 6,003,600,000/= na kwa kipindi
cha miezi tisa kilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
5,049,339,998/= kwa kazi za kawaida. Hadi kufikia mwezi Machi
2016 Kikosi kimeingiziwa jumla ya Shilingi 4,978,539,494/=
sawa na asilimia 99.
MKOA WA MJINI MAGHARIBI (D07)
Mheshimiwa Spika,
72. Mkoa wa Mjini Magharibi unajukumu la kusimamia utekelezaji
wa Sera, Sheria, Mipango na Miongozo ya Serikali ndani ya
Mkoa. Aidha, kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarika pamoja
na kutatua matatizo mbali mbali ya wananchi wa Mkoa huo.
Utekelezaji wa Programu kwa Mwaka 2015/2016
Mheshimiwa Spika,
73. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Mkoa ulitekeleza majukumu
yake kwa kupitia mfumo wa pragramu kuu mbili ambazo ni
Uratibu wa shughuli/Miradi ya maendeleo na Programu ya
Usimamizi na Utawala wa Mkoa. Kupitia programu hizi Mkoa
ulilenga kuwahudumia wananchi kupitia huduma ya kuratibu
shughuli za maendeleo ya Mkoa, kuratibu shughuli za Ulinzi na
Usalama, kutoa misaada ya kijamii na kiuchumi, kuwasaidia
wazee wasiojiweza na kutoa huduma za kiutumishi na
kiuendeshaji.
20
Mheshimiwa Spika,
74. Hadi kufikia mwezi Machi 2016 Mkoa wa Mjini Magharibi ulitoa
huduma za kuratibu mitihani ya majaribio na ya kitaifa ya ngazi
mbali mbali na kuhamasisha uandikishaji wa watoto katika skuli
za maandalizi na msingi ambapo watoto 4,842 maandalizi, na
watoto 16,769 darasa la kwanza.
Mheshimiwa Spika,
75. Mkoa pia umefanya ufuatiliaji wa udhalilishaji wa watoto
ambapo jumla ya matukio 56 yakiwemo ya utelekezwaji,
kubakwa na kukashifiwa yameripotiwa na kufuatiliwa ambapo
matukio 20 ya utelekezaji yamepatiwa ufumbuzi baada ya
kufanyika majadiliano baina ya wazee na uongozi wa Wilaya.
Watoto 14 wamepelekwa katika kituo cha kubadilishwa tabia,
wakiwemo wanawake 4 na wanaume 10.
Mheshimiwa Spika,
76. Mkoa kwa kushirikiana na Idara ya Kinga uliratibu utoaji wa
taaluma ya kujikinga na maradhi ya mripuko wa kipindupindu
na athari za mvua za vuli na masika ambapo vikao vya kamati ya
maafa vilifanyika. Aidha maombi 46 ya usajili wa vyama vya
ushirika vya kuweka na kukopa [SACCOSS] yamepokelewa.
Mheshimiwa Spika,
77. Katika huduma ya uratibu wa shughuli za Usalama, Mkoa
umefanya vikao
27 vya kawaida na vya dharura kujadili
masuala ya usalama wa wananchi na mali zao yakiwemo ya
Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015 na ule wa Machi 2016 . Aidha
Mkoa umeratibu na kufuatilia shughuli za ulinzi katika vipindi
vya sikukuu za kitaifa pamoja na matukio ya kihalifu na maeneo
hatarishi kiusalama.
Mheshimiwa Spika,
78. Kwa upande wa misaada ya kijamii na kiuchumi, Mkoa
umewasaidia wananchi 52 kwa mahitaji mbali mbali. Aidha,
wazee 2,071 wamepatiwa msaada wa Shilingi 93,195,000/= kwa
kipindi cha miezi tisa. Katika kutoa huduma za kiutumishi na
21
Mheshimiwa Spika,
98. Mkoa umeratibu ujenzi wa madarasa mapya 15 ya kusomea
katika Skuli za Kilindi, Pujini, Matale na Vitongoji pia ukumbi
mmoja na vyoo vinane vimejengwa katika Skuli ya Vitongoji.
Ofisi pia imesimamia ukarabati wa majengo katika Skuli ya
Kwale, Makoongwe, Kiwani Msingi, Chambani na Ngwachani
26
Mheshimiwa Spika,
102. Katika kutekeleza kampeni ya kupambana na vitendo vya
unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto,
hadi kufikia Machi 2016, jumla ya kesi 27 za matukio
mbalimbali ya udhalilishaji yameripotiwa ikiwemo ubakaji na
ulawiti, shambulio, kutorosha na mimba za utotoni. Kati ya kesi
hizo, kesi 17 zipo Polisi kwa hatua za upelelezi. Kesi 5 zipo Ofisi
ya Muendesha Mashitaka (DPP) na Kesi 5 zipo Mahakamani.
Mheshimiwa Spika,
103. Mkoa umeendelea kuimarisha mazingira bora ya kazi kwa
kufanya ukarabati mkubwa wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
na kuendelea na ujenzi wa Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya
ya Mkoani. Kwa upande wa masuala mtambuka, Mkoa umetoa
mafunzo kwa kamati za Ukimwi za Shehia tano juu ya harakati
za mapambano dhidi ya UKIMWI. Elimu juu ya uhifadhi wa
mazingira pia imetolewa kwa vikundi 16 vya wanawake na vijana
katika maeneo ya bahari na maeneo yaliyoathirika na uharibifu
wa mazingira katika Shehia za Mwambe, Vitongoji, Wesha na
Kisiwapanza.
Mheshimiwa Spika,
104. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Mkoa wa Kusini Pemba
uliidhinishiwa Shilingi
1,772,000,000/= kati ya fedha hizo
Shilingi
1,150,900,000/= ni kwa ajili ya kazi za kawaida za
Mkoa na Shilingi 621,100,000/= ni ruzuku ya Baraza la mji
Chake Chake na Baraza la Mji Mkoani, kwa kipindi cha miezi
tisa Mkoa ulikadiria kutumia kiasi cha Shilingi 1,471,572,409/=.
Hadi kufikia mwezi Machi 2016 Mkoa umeingiziwa jumla ya
Shilingi 1,321,198,471/= sawa na asilimia 90.
MKOA WA KASKAZINI PEMBA (D11)
Mheshimiwa Spika,
105. Mkoa wa Kaskazini Pemba una jukumu la kusimamia utekelezaji
wa Sera, Sheria na kanuni kwa lengo la kustawisha hali za
maisha ya wananchi wa Mkoa, kudumisha amani, ulinzi na
28
Mheshimiwa Spika,
109. Programu ya tatu ya kuimarisha shughuli za Uongozi na Utawala
imesimamia upatikanaji wa vitendea kazi mbali mbali, huduma
muhimu za uendeshaji na kufanya matengenezo ya Ofisi na
nyumba za viongozi wa Mkoa na Wilaya.
29
Mheshimiwa Spika,
110. Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Mkoa wa Kaskazini Pemba,
uliidhinishiwa Shilingi 1,659,600,000/= kati ya fedha hizo
Shilingi 1,331,400,00/= ni kwa ajili ya kazi za kawaida za Mkoa
na Shilingi 328,200,000/= ni ruzuku ya Baraza la Mji Wete, na
kwa kipindi cha miezi tisa Mkoa ulikadiria kutumia kiasi cha
Shilingi 1,264,507,650/=. Hadi kufikia Machi 2016 jumla ya
Shilingi 1,044,397,490/= zimepatikana sawa na asilimia 83.
OFISI YA USAJILI NA KADI ZA UTAMBULISHO (D12)
Mheshimiwa Spika,
111. Ofisi ya usajili na Kadi za Utambulisho, ina wajibu wa kuwasajili
na kuwapatia vitambulisho Wazanzibari Wakaazi na wasiokuwa
wakaazi wanaoishi kisheria wenye umri wa miaka 18 na
kuendelea.
Utekelezaji wa Programu kwa Mwaka 2015/2016
Mheshimiwa Spika,
112. Kupitia programu ya usajili hadi kufikia Machi 2016, Ofisi
imesajili Wazanzibari wakaazi 8,691 na kupatiwa vitambulisho
vyao. Aidha kupitia programu ya Utumishi na Uendeshaji, Ofisi
imewapatia mafunzo wafanyakazi katika fani na ngazi tofauti.
Mheshimiwa Spika,
113. Katika mwaka wa fedha 2015/2016 Ofisi ya Usajili na Kadi za
Utambulisho imeidhinishiwa Shilingi 1,768,900,000/= na kwa
kipindi cha miezi tisa ilikadiria kutumia kiasi cha Shilingi
1,396,512,000/= kwa kazi za kawaida, na hadi kufikia mwezi
Machi 2016 imeingiziwa jumla ya Shilingi 600,426,500/= sawa
na asilimia 43.
Mheshimiwa Spika,
114. Kupitia Programu mbalimbali ya kuendeleza wafanyakazi, Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ imesomesha wafanyakazi 229 Wanawake 97 Wanaume 132
Angalia kiambatanisho namba 9.
30
31
SEHEMU YA PILI
MWELEKEO WA MATUMIZI YA BAJETI INAYOTUMIA
PROGRAMU KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
Mheshimiwa Spika,
118. Baada ya kuwasilisha utekelezaji wa program za Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ kwa mwaka wa fedha
2015/16, naomba sasa uniruhusu niwasilishe mpango ya bajeti
ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Mpango huu
umezingatia pia vipaumbele viwili vya Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ambavyo ni
Kutekeleza Sera ya Serikali za Mitaa kwa kugatua baadhi ya
majukumu ya Serikali Kuu na kuyapeleka Serikali za Mitaa na
kuimarisha uwezo wa kiutendaji wa Idara Maalum za SMZ.
Mheshimiwa Spika,
119. Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ ina jumla ya Programu kubwa 28 na program ndogo 7
zitakazotekelezwa kupitia taasisi zake zinazojumuisha Taasisi za
Ofisi kuu, Idara Maalum za SMZ, Mamlaka za Tawala za Mikoa
na Ofisi ya Msajili wa Vizazi, Vifo na Kadi za Utambulisho.
FUNGU (D01) TAASISI ZA OFISI KUU
Mheshimiwa Spika,
120. Fungu hili la Taasisi za Ofisi Kuu limepanga kutekeleza
programu kuu nne zifuatazo katika mwaka wa fedha 2016/2017.
i. Uratibu wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa;
ii. Uratibu wa Idara Maalum za SMZ;
iii. Usimamizi wa Masuala ya Utumishi katika Idara Maalum za
SMZ; na
iv. Usimamizi na Uendeshaji wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Idara Maalum za SMZ.
32
Mheshimiwa Spika,
121. Programu ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ina
program ndogo tatu za (i) Usimamizi wa Shughuli za Utumishi na
Utawala (ii) Uratibu wa Kazi za Mipango, Sera na Utafiti na (iii)
Uratibu wa Kazi za OR-TMSMIM Pemba zinatekelezwa kwa
pamoja na Idara ya Utumishi na Uendeshaji, Idara ya Mipango
Sera na Utafiti na Ofisi ya Afisa Mdhamini Pemba.
IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI
Mheshimiwa Spika,
122. Programu ndogo ya Usimamizi wa Shughuli za Utumishi na
Utawala ina lengo la kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa kazi
za Ofisi. Programu itaendelea kusimamia majukumu ya
kiutumishi ikiwemo kuendelea kuwahudumia wafanyakazi
waliopo masomoni na upatikanaji wa huduma muhimu za
kiutawala na nyenzo za kufanyia kazi. Programu itatekelezwa na
Idara ya Uendeshaji na Utumishi na imepangiwa jumla ya
shilingi 1,111,016,542/=.
IDARA YA MIPANGO, SERA NA UTAFITI
Mheshimiwa Spika,
123. Programu ndogo ya Uratibu wa Kazi za Mipango, Sera na Utafiti
imepanga kusimamia, kuratibu na kufuatilia, utekelezaji wa
mipango, Sera na tafiti mbali mbali za Ofisi. Katika kufanikisha
hilo,programu itaendelea kuandaa miongozo ya kisera na
kisheria, kuimarisha kitengo cha utafiti, kuibua miradi na
kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji na tathmini. Programu
imepangiwa jumla ya shilingi 286,501,000/=.
Mheshimiwa Spika,
124. Programu ya uwekaji wa vifaa vya ulinzi (CCTV) inaendelea
kuratibu kazi za kuendeleza Mradi wa Mji Salama ambapo kwa
mwaka ujao wa fedha umepanga kukamilisha uwekaji wa
33
Mheshimiwa Spika,
128. Programu ya Uratibu wa Serikali za Mitaa inalenga kuimarisha
uratibu kwa kutoa miongozo itakayosaidia utekelezaji wa Ugatuzi
wa Madaraka kwa Wananchi, katika kufanikisha adhma hii Ofisi
itazingatia utekelezaji wa Sera ya Serikali za Mitaa ya mwaka
2012 ambapo kwa kuanzia itajikita katika maeneo makuu
yafuatayo; kufanya mapitio ya muundo wa kitaasisi ya serikali za
mitaa, kuimarisha usimamiazi wa rasilimali watu, kuandaa
mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha na kukuza
usimamizi wa utawala bora na elimu kwa umma katika
utekelezaji wa sera. Programu itatekelezwa na Idara ya Uratibu
wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na imepangiwa kutumia
jumla ya shillingi 2,391,639,508/=.
IDARA YA URATIBU WA IDARA MAALUM ZA SMZ
Mheshimiwa Spika,
129. Lengo kuu la programu ni kuimarisha uwezo wa kiutendaji wa
Idara Maalum kwa kuimarisha mfumo, uwezo na upatikanaji wa
huduma. Aidha kukuza ushirikiano na vyombo vya ulinzi na
usalama vya ndani na nje ya nchi. Matarajio makubwa ni
kujenga uwezo wa Idara Maalum katika kutimiza majukumu
yake. Programu itatekelezwa na Idara ya Uratibu wa Idara
Maalum na imepangiwa kutumia jumla ya
Shilingi.
44,993,000/=.
TUME YA UTUMISHI YA IDARA MAALUM ZA SMZ
Mheshimiwa Spika,
130. Kupitia programu ya Usimamizi wa Masuala ya Utumishi katika
Idara Maalum za SMZ, Tume ina lengo la Kuimarisha misingi ya
utawala bora na Sheria katika Idara Maalum. Programu
itatekelezwa na Tume ya Utumishi ya Idara Maalum na
imepangiwa kutumia Shilingi 115,233,000/=.
35
Mheshimiwa Spika,
131. Fungu nambari D01 lenye jumla ya Programu Kuu Nne na
programu ndogo 5 linasimamiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,
Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
ambalo kwa mwaka wa fedha 2016/2017 limepangiwa matumizi
ya jumla ya Shilingi 22,461,300,000/=. Hivyo naliomba Baraza
lako tukufu liidhinishe fedha hizo kwa matumizi yaliyopangwa.
Aidha liidhinishe ukusanyaji wa mapato ya shilingi 600,000/=
kama mchango katika mfuko mkuu wa Serikali.
IDARA MAALUM ZA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
FUNGU (DO2) JESHI LA KUJENGA UCHUMI (JKU)
Mheshimiwa Spika,
132. Katika mwaka wa Fedha 2016/2017 fungu hili limepanga
kutekeleza Programu Kuu mbili; Programu ya Mafunzo ya Amali,
Uzalishaji, Uzalendo na Michezo kwa Vijana na Programu ya
Ulinzi, Mipango na Uendeshaji wa JKU.
Programu ya Mafunzo ya Amali, Uzalishaji, Uzalendo na
Michezo kwa Vijana
Mheshimiwa Spika,
133. Jukumu la program ni kupunguza kiwango cha ukosefu wa
ajira, kukuza michezo na kuongeza uzalishaji wa chakula.
Programu hii inazo programu ndogo mbili ambazo ni Uzalendo,
Uzalishaji na Michezo na programu ya Ufundi na Kazi za Amali.
Programu ndogo ya Uzalendo, Uzalishaji na Michezo ina lengo la
kuongeza uelewa wa kutumia mbinu bora za uzalishaji wa mazao
ya kilimo na mifugo, kuibua na kukuza vipaji vya michezo na
kuimarisha utaifa. Programu itatekelezwa na Idara ya Utawala ya
JKU na imepangiwa kutumia jumla ya Shilingi 32,000,000/=.
Mheshimiwa Spika,
36
37
Mheshimiwa Spika,
152. Fungu nambari D06 lenye jumla ya Programu Kuu 2
linalosimamiwa na Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Valantia kwa
Mwaka wa Fedha 2016/2017 limepangiwa matumizi ya jumla ya
shilingi 7,527,100,000/= kwa kazi za kawaida na kazi za
maendeleo. Hivyo naliomba Baraza lako Tukufu liidhinishe fedha
hizo kwa matumizi yaliyopangwa. Aidha naliomba Baraza lako
Tukufu liidhinishe ukusanyaji wa mapato ya Shilingi
21,084,000/= kupitia Programu hizi na kuchangia Mfuko Mkuu
wa Serikali.
MAMLAKA ZA MIKOA
FUNGU - DO7 MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Mheshimiwa Spika,
153. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi katika mwaka wa
Fedha 2016/2017 imepanga kutekeleza Programu kuu mbili (2);
Programu ya Kwanza ni ya Uratibu wa Shughuli na Miradi ya
Maendeleo ya Mkoa na Programu ya pili ni ya Usimamizi na
Utawala.
Programu ya Uratibu wa Shughuli na Miradi ya Maendeleo ya
Mkoa
Mheshimiwa Spika,
154. Programu ina jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma za
kijamii. Matarajio ya Programu ni kuwepo ufanisi na ubora wa
utekelezaji wa shughuli na miradi ya maendeleo. Huduma
zinazotarajiwa kutolewa na Programu ni kuratibu shughuli za
maendeleo na shughuli za ulinzi na usalama ndani ya Mkoa.
Programu imepangiwa kutumia jumla ya shilingi 240,387,800/=.
Programu ya Usimamizi na Utawala
42
Mheshimiwa Spika,
155. Programu ina jukumu la kuimarisha mazingira ya kazi,
kusimamia stahiki na kuwajengea wafanyakazi uwezo wa
kitaaluma. Matarajio ya Programu ni ufanisi wa kazi na
upatikanaji wa huduma bora. Huduma zitakazotolewa na
Programu ni za kiutumishi na uendeshaji. Programu imepangiwa
kutumia jumla ya shilingi 1,396,812,200/=.
Mheshimiwa Spika,
156. Fungu nambari D07 lenye jumla ya Programu Kuu 2
linalosimamiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mjini Magharibi
kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 limepangiwa jumla ya shilingi
1,637,200,000/= kwa kazi za kawaida. Hivyo naliomba Baraza
lako Tukufu liidhinishe fedha hizo kwa matumizi yaliyopangwa.
Aidha naliomba Baraza lako Tukufu liidhinishe ukusanyaji wa
mapato ya shilingi 35,989,000/= na kuchangia katika Mfuko
Mkuu wa Serikali.
FUNGU D08. MKOA WA KUSINI UNGUJA
MheshimiwaSpika,
157. Mkoa wa Kusini Unguja katika Mwaka wa Fedha wa 2016/2017
imepanga kutekeleza Programu kuu mbili (2) Programu ya
Uratibu wa Shughuli za Maendeleo ya Mkoa na Programu ya
Uendeshaji na Utawala.
Programu ya Uratibu wa Shughuli za Maendeleo ya Mkoa
Mheshimiwa Spika,
158. Programu ina jukumu la kuimarisha uratibu wa shughuli za
sekta za kijamii. Matarajio ya programu ni kuongeza kasi ya
upatikanaji wa huduma bora za maendeleo kwa jamii. Huduma
zinazotarajiwa kutolewa na Progamu ni kuratibu maendeleo ya
jamii na kuratibu shughuli za ulinzi na usalama ndani ya Mkoa.
Programu imepangiwa kutumia jumla ya shilingi 193,727,200/=.
Programu ya Uendeshaji na Utawala
43
Mheshimiwa Spika,
159. Program ina jukumu la kuhakikisha kuwa wafanyakazi
wanawajibika ipasavyo katika utoaji wa huduma. Matarajio ya
Programu hii ni kuimarika kwa mazingira ya utendaji kazi na
kuongeza ufanisi. Programu imepangiwa kutumia jumla ya
Shilingi 1,069,872,800/=
Mheshimiwa Spika,
160. Fungu nambari D08 lenye jumla ya Programu Kuu 2
linalosimamiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kusini Unguja
kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 limepangiwa jumla ya Shilingi
1,263,600,000/= kwa kazi za kawaida. Hivyo naliomba Baraza
lako Tukufu liidhinishe fedha hizo kwa matumizi yaliyopangwa.
Aidha naliomba Baraza lako Tukufu liidhinishe ukusanyaji wa
mapato ya shilingi 4,790,000/= na kuchangia katika Mfuko
Mkuu wa Serikali.
FUNGU DO9. MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Mheshimiwa Spika,
161. Mkoa wa Kaskazini Unguja katika mwaka wa fedha 2016/2017
imepanga kutekeleza Programu kuu mbili; Programu ya Uratibu
wa Shughuli za Maendeleo ya Mkoa na Programu ya Utawala na
Uendeshaji.
Programu ya Uratibu wa Shughuli za Maendeleo ya Mkoa.
Mheshimiwa Spika,
162. Programu ina jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa huduma
bora za kijamii. Matarajio ya Programu ni kupatikana kwa
huduma bora za maendeleo. Programu imepangiwa kutumia
jumla ya shilingi 401,000,000/=.
Programu ya Utawala na Uendeshaji.
Mheshimiwa Spika,
163. Programu ina jukumu la kuwajengea uwezo wafanyakazi ili
waweze kumudu kazi zao kwa ufanisi pamoja na kuwapatia
44
Programu
imepangiwa
1,867,462,000/=
kutumia
jumla
ya
shilingi
Mheshimiwa Spika,
168. Fungu D10 lenye Programu Kuu mbili limepangiwa matumizi ya
jumla ya Shilingi 1,918,400,000/=, kati ya hizo shilingi
782,000,000/= ni ruzuku kwa Baraza la Mji Mkoani na Baraza la
Mji la Chake Chake. Hivyo naliomba Baraza lako Tukufu
liidhinishe fedha hizo kwa matumizi yaliyopangwa.
FUNGU D11. MKOA WA KASKAZINI PEMBA
Mheshimiwa Spika,
169. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba kwa mwaka wa
fedha 2016/2017 imepanga kutekeleza Programu kuu mbili;
Programu ya Kuratibu Kazi za Maendeleo katika Mkoa na
Programu ya kuratibu Kazi za Mipango na Utawala.
Programu ya Kuratibu Kazi za Maendeleo katika Mkoa
Mheshimiwa Spika,
170. Programu ina jukumu la kufuatilia kazi za maendeleo ndani ya
Mkoa. Matarajio ya Programu hii ni kuwa na maendeleo
endelevu. Huduma zinazotarajiwa kutolewa na Programu ni
kuratibu miradi ya maendeleo katika Mkoa. Programu hii
imepangiwa kutumia jumla ya shilingi 86,792,000/=.
Programu ya kuratibu Kazi za Mipango na Utawala
Mheshimiwa Spika,
171. Programu ya Kuratibu Kazi za Mipango na Utawala ina jukumu
la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanawajibika ipasavyo katika
kazi zao. Matarajio ya Programu ni kuimarika kwa upatikanaji
wa huduma na kuwa na mazingira bora ya kazi. Programu
inatarajia kutoa huduma za mipango na utawala na kusimamia
na kutoa huduma za usafi wa mji wa Wete. Programu
imepangiwa kutumia jumla ya Shilingi 1,487,508,000/=.
46
Mheshimiwa Spika,
172. Fungu nambari D11 lenye Programu Kuu mbili limepanga
kutumia jumla ya Shilingi 1,574,300,000/=. Kati ya fedha hizo
shilingi 330,500,000/= ni ruzuku ya Baraza la Mji Wete. Hivyo
naliomba Baraza lako Tukufu liidhinishe fedha hizo kwa
matumizi yaliyopangwa.
FUNGU D12. OFISI YA USAJILI VIZAZI, VIFO NA KADI ZA
UTAMBULISHO
Mheshimiwa Spika,
173. Ofisi ya Usajili Vizazi, Vifo na Kadi za Utambulisho katika mwaka
wa fedha 2016/2017 imepanga kutekeleza Program Kuu tatu (3);
Programu ya Kusajili na Kutoa Vitambulisho kwa Wazanzibari na
wasio Wazanzibari wanaoishi kisheria, Programu ya Utumishi na
Uendeshaji wa Ofisi ya Usajili wa Vizazi Vifo na Kadi za
Utambulisho na Programu ya Kusajili Matukio ya Kijamii.
Programu ya Kusajili na Kutoa Vitambulisho kwa Wazanzibari
na wasio Wazanzibari wanaoishi kisheria
Mheshimiwa Spika,
174. Programu ina lengo la kuwatambua Wazanzibari na wasio
Wazanzibari wanaoishi Zanzibar. Programu imepangiwa kutumia
jumla ya shilingi 75,000,000/=.
Programu ya Utumishi na Uendeshaji Ofisi ya Usajili na Kadi
za Utambulisho
Mheshimiwa Spika,
175. Programu ina jukumu la kutoa huduma endelevu za kiutawala
kwa Ofisi katika kutekeleza majukumu yake. Matarajio ya
Programu ni kuwa na mazingira mazuri ya kazi. Programu
itatekelezwa na Idara ya Utumishi na Uendeshaji na imepangiwa
kutumia jumla ya shilingi 1,486,100,000/=.
47
49
499,750,000/=
Serikali.
yatakayoingizwa
katika
mfuko
mkuu
wa
Mheshimiwa Spika,
Naomba kutoa hoja.
50
Kiambatanisho namba 1
1.
2.
3.
4.
Kulinda mali za Taifa na za watu binafsi zisiharibiwe, kuzuia uingizaji au utoaji nje
ya nchi kimagendo, pamoja na kusimamia kazi za uzimaji moto na uokozi;
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13
Kiambatanisho namba 2
TAASISI/IDARA ZA OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SERIKALI
YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
Nam TAASISI/IDARA ZA OFISI KUU
1.
MAMLAKA ZA MIKOA NA
SERIKALI ZA MITAA
Mkoa wa Mjini Magharibi
2.
3.
52
Mitaa
4.
5.
6.
7.
9..
10.
11.
12.
Halmashauri Wilaya ya
Kaskazini A
13.
Halmashauri Wilaya ya
Kaskazini B
Halmashauri Wilaya ya Kati
Unguja
Halmashauri Wilaya ya
Kusini Unguja.
Halmashauri Wilaya ya
Micheweni
8.
14.
14.
16.
Mafunzo
( MFZ)
Kikosi cha Zimamoto na
Uokozi (KZU)
Kikosi cha Valantia(KVZ)
53
Kiambatanisho namba 3
MAPATO KWA MUJIBU WA MAFUNGU YA BAJETI
MAPATO YALIYOKUSANYWA KWA KIPINDI CHA JULAI HADI MACHI 2015/2016 NA MAKADIRIO KWA MWAKA WA FEDHA
2016/2017
MAKADIRIO
MAKUSANYO
ASILIMIA YA
MAKADIRIO KWA
FUNGU
TAASISI
KWA MWAKA
JULAI 2015
MAKUSANYO JULAIMWAKA 2016/17
2015/16
MACHI 2016
MACHI 2016
OFISI ZA MAKAO MAKUU
D01
USAJILI WA WAKANDARASI NA
NYARAKA ZA ZABUNI
600,000
JUMLA
600,000
JKU
D02
MAUZO YA MPUNGA
15,000,000
10,000,000
67
13,500,000
MAUZO YA MTAMA
2,500,000
2,400,000
2,500,000
2,300,000
92
3,000,000
16,337,000
8,250,000
50
7,000,000
36,337,000
20,550,000
57
44,400,000
10,000,000
586,000
5,000,000
6,000,000
800,000
13
11,000,000
MAPATO MASHAMBA
13,000,000
3,000,000
23
17,000,000
MAPATO YA MIFUGO
586,000
114,000
19
MAPATO YA UJENZI
21,000,000
27,578,000
JUMLA
50,586,000
4,500,000
60,578,000
25,891,000
31,005,000
JUMLA
25,891,000
31,005,000
MAPATO YA MIFUGO
ADA YA ULINZI
JUMLA
18,500,000
MAFUNZO
KAZI ZA MIKONO
D03
D04
D5
KMKM
ZIMAMOTO NA UOKOZI
54
6,500,000
3,475,000
53
4,978,000
3,106,000
2,250,000
72
3,106,000
3,500,000
1,875,000
54
3,500,000
2,500,000
1,500,000
60
7,500,000
2,000,000
1,400,000
70
2,000,000
17,606,000
10,500,000
60
21,084,000
ADA YA ULINZI
17,606,000
5,600,000
32
21,084,000
JUMLA
17,606,000
5,600,000
32
21,084,000
29,000,000
8,460,000
29
35,000,000
954,000
729,000
76
989,000
29,954,000
9,189,000
31
35,989,000
ADA YA NDOA,UHAULISHAJI
ARDHI NA USAFIRISHAJI
VYOMBO
4,790,000
JUMLA
4,790,000
ADA YA NDOA,UHAULISHAJI
ARDHI NA USAFIRISHAJI
VYOMBO
4,790,000
JUMLA
4,790,000
JUMLA
D6
KVZ
ADA YA NDOA,UHAULISHAJI
ARDHI NA USAFIRISHAJI
VYOMBO
KUCHELEWA KUSAJILI CHETI
CHA KUZALIWA
JUMLA
D08
D09
55
17,606,000
25,200,000
143
17,963,000
MAPATO YA VITAMBULISHO
KWA WAGENI
17,963,000
UANDIKISHAJI WA VIZAZI NA
VIFO
191,603,000
UANDIKISHAJI WA NDOA NA
TALAKA
17,606,000
25,200,000
143
47,901,000
275,430,000
195,586,000
75,539,000
39
499,750,000
JUMLA
JUMLA KUU
MAKADIRIO YA
MAPATO YA
MWAKA 2015/2016
MAKADIRIO YA
MAPATO MIEZI
TISA 2015/2016
BARAZA LA MANISPAA
2,832,022,000
2,248,164,200
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MAGHARIBI
1,500,000,000
HALMASHAURI YA WILAYA YA
KUSINI
MAPATO HALISI
KWA MIEZI TISA
2015/2016
ASILIMIA
YA MWAKA
2015/2016
ASILIMIA YA
MIEZI TISA
2015/2016
1,582,980,550
56
70
990,303,700
974,538,000
65
98
300,166,000
223,868,500
152,275,560
51
68
HALMASHAURI YA WILAYA YA
KATI
420,000,000
300,942,232
214,170,140
51
71
HALMASHAURI YA WILAYA YA
KASKAZINI A
540,000,000
399,907,950
289,706,538
54
72
56
HALMASHAURI YA WILAYA YA
KASKAZINI 'B'
537,500,000
407,518,000
349,640,053
65
86
100,000,000
75,000,000
55,725,666
56
74
200,000,000
162,635,695
127,007,300
64
78
150,000,000
120,000,000
78,528,550
52
65
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MKOANI
153,326,000
114,750,000
95,617,800
62
83
HALMASHAURI YA WILAYA YA
CHAKE CHAKE
134,847,000
95,685,000
62,015,000
46
65
HALMASHAURI YA WILAYA
WETE
170,000,000
119,625,000
50,948,000
30
43
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MICHEWENI
190,000,000
146,491,500
81,380,500
43
56
7,227,861,000
5,404,891,777
4,114,533,657
57
76
JUMLA KUU
BARAZA LA
MANISPAA
MAKADIRIO YA
MATUMIZI YA
MWAKA
2015/2016
2,832,022,000
MAKADIRIO YA
MATUMIZI JULAI
2015-MACHI 2016
JUMLA YA
MATUMIZI HALISI
KWA KIPINDI CHA
JULAI 2015MACHI 2016
2,100,319,700
1,160,623,600
MATUMIZI YA
MIRADI YA
MAENDELEO
KWA MWAKA
2015/2016
MATUMIZI YA
KAWAIDA KWA
MWAKA
2015/2016
1,160,623,600
%
MWAKA
%
MIEZI
TISA
41
55
57
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
MAGHARIBI
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
KASKAZINI A
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
KASKAZINI 'B'
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
KUSINI
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
KATI
BARAZA LA
MJI MKOANI
BARAZA LA
MJI CHAKE
CHAKE
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
CHAKE CHAKE
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
MKOANI
BARAZA LA
MJI WETE
HALMASHAURI
YA WILAYA
WETE
1,500,000,000
895,000,000
786,273,300
440,735,400
345,537,900
52
88
533,803,000
391,854,500
287,605,427
136,623,734
150,981,693
54
73
534,500,000
400,875,000
320,022,626
99,582,100
220,440,526
60
80
300,166,000
177,105,122
100,526,890
19,975,000
80,551,890
34
57
420,000,000
298,925,000
135,514,418
27,225,568
108,288,850
32
45
100,000,000
75,000,000
55,725,666
33,841,736
21,883,930
56
74
200,000,000
162,635,695
127,007,300
58,153,500
68,853,800
64
78
134,847,000
95,685,000
62,468,500
11,859,000
50,609,500
46
69
153,326,000
114,750,000
95,617,800
48,338,270
47,279,530
62
83
150,000,000
138,801,000
78,528,550
34,000,000
44,528,550
52
57
50,948,000
12,000,000
38,948,000
30
43
170,000,000
119,625,000
58
HALMASHAURI
YA WILAYA YA
MICHEWENI
190,000,000
146,491,500
84,687,320
44,219,020
40,468,300
45
58
7,218,664,000
4,692,831,517
3,345,549,397
966,553,328
2,378,996,069
46
71
JUMLA
MAKADIRIO YA
MAPATO YA
MWAKA
2016/2017
MAKADIRIO YA
MATUMIZI YA
KAWAIDA
2016/2017
MAKADIRIO YA
MIRADI YA
MAENDELEO
2016/2017
ASILIMIA YA
MAKADIRIO YA
MATUMIZI YA
KAWAIDA
2016/2017
ASILIMIA YA
MAKADIRIO YA
MATUMIZI YA
MIRADI YA
MAENDELEO
2016/2017
BARAZA LA MANISPAA
3,032,474,000
2,820,202,000
212,272,000
93
BARAZA LA MANISPAA
LA MAGHARIBI A
500,000,000
200,000,000
300,000,000
40
60
BARAZA LA MANISPAA
LA MAGHARIBI B
1,000,000,000
400,000,000
600,000,000
40
60
HALMASHAURI YA
WILAYA YA KUSINI
300,270,000
180,720,000
120,000,000
60
40
HALMASHAURI YA
WILAYA YA KATI
420,000,000
273,717,792
146,282,208
65
35
59
HALMASHAURI YA
WILAYA YA KASKAZINI
A
550,000,000
214,303,000
335,697,000
39
61
HALMASHAURI YA
WILAYA YA KASKAZINI
'B'
560,500,000
310,500,000
250,000,000
55
45
BARAZA LA MJI
MKOANI
213,000,000
133,000,000
80,000,000
62
38
305,900,000
185,000,000
120,000,000
60
39
250,000,000
150,000,000
100,000,000
60
40
HALMASHAURI YA
WILAYA YA
MICHEWENI
150,000,000
92,500,000
57,500,000
62
38
7,282,144,000
4,959,942,792
2,321,751,208
JUMLA
32
68
Kiambatanisho namba 5
UPATIKANAJI WA FEDHA KWA KIPINDI CHA JULAI 2015-MACHI 2016
MCHANGANUO WA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
FUNG
U
TAASISI
MAKADIRIO YA MWAKA
2015/2016
JUMLA
OC
MISHAHA
RA
OC
MISHAHA
RA
% YA OC
NA
MISHAHA
RA MIEZI
TISA
OC
MISHAHA
RA
% YA OC
MIEZI
TISA
60
D01
URATIBU
TAWALA ZA
MIKOA
URATIBU
IDARA
MAALUM
TUME YA
UTUMISHI
WA IDARA
MAALUM
MIPANGO
SERA NA
UTAFITI
UTUMISHI
NA
UENDESHAJ
I
OFISI KUU
PEMBA
MRADI WA
MJI SALAMA
(CCTV)
JUMLA
D02
JKU
D03
D04
D05
D06
CHUO CHA
MAFUNZO
KMKM
MRADI WA
CHELEZO
CHA UOKOZI
KIKOSI CHA
ZIMA MOTO
KVZ
JUMLA
336,819,000
1,823,063,97
0
53,883,000
53,883,000
138,000,000
2,340,703,000
1,628,884,00
0
320,151,000
1,786,241,30
0
98
44,854,000
44,854,000
3,595,000
138,000,000
122,112,500
122,112,500
1,502,912,970
1,774,526,200
11,715,100
3,595,000
7,040,000
7,040,000
295,511,000
94,847,000
200,664,000
238,762,000
71,135,000
167,627,000
97,352,300
41
92,310,000
5,042,300
1,219,546,000
711,361,000
508,185,000
978,456,500
533,519,500
444,937,000
630,713,513
64
516,394,300
114,319,213
26
542,557,000
398,672,000
143,885,000
388,646,000
299,034,000
94,504,500
355,084,500
90
317,084,500
38,000,000
40
9,000,000,00
0
4,124,205,00
0
46
7,004,231,61
3
56
2,700,315,000
10,000,000,00
0
14,590,200,00
0
179,711,613
12,600,787,4
70
2,406,601,470
1,194,186,00
0
988,100,000
9,190,234,72
6
8,291,550,000
899,450,000
9,166,346,72
6
100
8,290,784,726
875,562,000
97
4,483,602,00
0
3,485,932,00
0
6,001,267,81
9
4,783,349,997
1,765,889,88
7
6,811,080,14
0
113
5,382,437,850
1,428,642,29
0
81
10,449,000,0
00
2,504,000,00
0
10,787,975,0
40
9,219,211,000
1,568,764,04
0
10,687,975,0
40
99
9,219,211,000
1,468,764,04
0
94
340,000,000
77
2,833,764,00
0
1,381,436,00
0
10,804,500,00
0
9,816,400,00
0
7,975,300,000
12,953,000,00
0
700,000,000
440,000,000
15
4,313,300,000
3,894,833,00
0
418,476,000
3,224,848,66
5
2,804,917,500
419,931,165
3,815,620,00
0
118
3,404,886,500
410,733,500
98
6,003,600,000
5,502,800,00
0
500,800,000
5,049,339,99
8
4,575,510,000
473,829,998
4,978,539,49
4
99
4,518,845,494
459,694,000
97
42,749,700,00
0
34,146,635,0
00
7,897,308,00
0
34,694,431,5
22
29,674,538,49
7
5,127,865,09
0
35,799,561,4
00
103
30,816,165,57
0
4,643,395,83
0
91
61
D07
D08
D09
D10
D11
D12
MKOA WA
MJINI
MAGHARIBI
MKOA WA
KUSINI
UNGUJA
MKOA
KASKAZINI
(U)
MKOA WA
KUSINI
PEMBA
MKOA WA
KASKAZINI
PEMBA
JUMLA
AFISI YA
VITAMBULIS
HO
JUMLA
JUMLA KUU
*Afisi ya
Mrajis wa
Vizazi na Vifo
1,521,800,000
819,300,000
702,500,000
1,146,285,75
5
1,336,600,000
865,297,000
471,303,000
1,373,900,000
902,100,000
1,772,000,000
640,885,050
1,079,051,10
2
929,008,050
640,885,050
288,195,000
1,026,904,14
7
648,972,747
377,931,400
867,429,450
84
633,429,450
234,000,000
62
471,800,000
1,043,689,31
8
676,575,000
367,114,318
882,768,600
85
653,118,600
229,650,000
63
1,023,680,00
0
748,320,000
1,471,572,40
9
893,257,409
578,315,000
1,321,198,47
1
90
889,959,971
431,238,500
75
1,659,600,000
1,085,332,00
0
574,268,000
1,264,507,65
0
814,440,650
450,067,000
1,044,397,49
0
83
767,130,750
277,266,740
62
7,663,900,000
4,695,709,00
0
2,968,191,00
0
5,952,959,27
9
3,674,130,856
2,852,478,82
0
5,044,802,06
1
85
3,584,523,821
1,460,350,24
0
51
1,768,900,000
574,000,000
1,194,900,00
0
1,396,512,00
0
430,179,000
966,333,000
600,426,500
43
401,426,500
199,000,000
21
1,768,900,000
574,000,000
1,194,900,00
0
1,396,512,00
0
430,179,000
966,333,000
600,426,500
43
401,426,500
199,000,000
21
66,772,700,00
0
42,250,108,0
00
13,441,835,0
00
54,644,690,2
71
36,185,449,82
3
10,140,862,9
10
48,449,021,5
74
89
37,502,430,89
1
6,482,457,68
3
64
501,641,600
257,547,000
244,094,600
383,552,988
193,160,250
190,392,738
276,157,275
191,870,050
84,287,225
81
27
*Mapato na matumizi ya Ofisi hii kwa mwaka 2015/2016 hayakujumlishwa katika jumla kuu
Kiambatanisho namba 6
MIRADI YA MAENDELEO ILIYOFUATILIWA KWA KIPINDI CHA JULAI -MACHI 2015/2016
Nam
JINA LA MRADI
SHEHIA/ENEO
1
Ukarabati wa barabara za ndani
Kikwajuni, Kilimani, Kwabiziredi na
Msumbiji - Mwanakwerekwe na
Makaburini
62
2.
3
Chumbuni
5
6
7
8
9
10
Mkokotoni
11
12
13
14
15
16
17
18
Kwale
Kiembe samaki, Fuoni, Magogoni,Mwera
na Welezo.
Mwanyanya , Kizimbani, Tomondo
Mfenesini
Kwerekwe
Dimani
19
20
Ujenzi wa maduka
Ujenzi wa Vyoo vya jamii
Kipilipilini.
Mkokotoni
21
Mbuyuni
22
Ngombeni.
23
Michenzani
Mkwajuni
Tumbatu
Bumbwini, Mahonda Pangeni, Upenja,
Mkataleni, Kinduni, Kiashange,
Mkokotoni, Kikobweni, Bandamaji na
Kandwi
Kilindi, Pujini, Matale na Vitongoji
Vitongoji.
Kwale, Makoongwe, Kiwani Msingi,
Chambani na Ngwachani
63
24
Mbuyuni .
25
Selemu
26
Mtemani
27
Selemu
28
Chasasa
29
Kwale
30
Uwandani
31
Gando.
32
Kipange Tumbatu
33
Kipange Tumbatu
34
Shumba Viamboni
35
Micheweni
Kiambatanisho namba 7
BARABARA ZA VIJIJINI ZILIZOFANYIWA MKAKATI WA KITATHMINI YA KIMAZINGIRA 2015/201
Nam
WILAYA
SHEHIA
UNGUJA
JINA LA BARABARA
KIWANGO
64
(KILOMITA)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
Kusini
Kusini
Kusini
Kusini
Kati
Kati
Kati na
Magharibi
Magharibi
'A'
Kaskazini
'B'
Kaskazini
'B'
Kaskazini
'B'
Kaskazini
'B'
Kaskazini
'B'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
Bwejuu -Dongwe
Kibigija na Kikadini
Kajengwa
Kajengwa , Nganani,Kiongoni
Cheju
Ubago
Bwejuu Dongwe
Jambiani Kibigija - Mfumbwi
Mtandao Junction - Kajengwa
Jambiani Junction Koba
Jendele Cheju
Ubago
1.8
4.9
0.8
3
6.6
4.4
Kiboje Kijichi
7.3
Mfenesini , Mkadini,Matetema
Mfenesini Matetema
2.8
Vuga
Matetema,Zingwezingwe,Kianz
ini
Donge Myimbi,Donge
Mbiji,Donge Vijibweni, Donge
Mchangani
Donge Mtambile,Donge
Mchangani,Donge Muwanda
Mto wa Pwani,Pale ,Donge na
Muwanda
2.2
Matemwe Kusini
0.9
Matemwe Kusini
3.35
Mfurumatonga Kijijini
Ikulu Ndogo
4.72
0.5
Matetema Kidanzini
Donge Mnyimbi- Donge
Mchangani
Donge Mtambile -donge
Muwanda
1.84
7.0
6.0
4.0
65
18
19
20
21
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Kaskazini
'A'
Bwekunduni-Kibeni-Kivunge
3.73
Tumbatu
Bowbow Junction-Nungwi
Round about
Nungwi Round about -Mnarani
Aquarium
7.26
1.99
0.9
75.99
PEMBA
Nam
WILAYA
1
2
Mkoani
Mkoani
Mkoani
Chake
Chake
Chake
Chake
6
7
8
9
10
11
Wete
Wete
Wete
Micheweni
Micheweni
Micheweni
SHEHIA
JINA LA BARABARA
Kituo cha Polisi Kengeja Kengeja
Mbuyuni Bandarini
Mtambile ,Minazini na Kendwa Mtambile-Mwakungu
Ukutini Uwanja wa MpiraUkutini
Hospitali ya Chambani
Chonga ,Mgelema
Chonga Mgelema
Wesha ,Ndagoni
Kiuyu
Minungwini,Kambini,Kisiwani
Piki ,Mtambwe Kaskazini
Maziwani Shenge Juu
Njuguni, Mlindo ,Finya
Finya ,Mihogoni
Majenzi ,Shumba Mjini
JUMLA
Wesha Ndagoni
Mkarafuu Mmoja - Jumapili
Kiuyu
Bwagamoyo -Kele- Uwondwe
Maziwani Shengejuu
Dodeani Finya
Finya Kizota
Majenzi -Shumba Mjini
KIWANGO
( KILOMITA)
2.69
4.5
3.83
5.45
9.8
5.03
5.28
5.11
5.29
8.67
3.05
58.7
66
Kiambatanisho namba.8
MATUKIO YALIYORIPOTIWA KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOZI KUANZIA JULAI 2015 HADI MACHI
2016
Nam
AINA YA TUKIO
IDADI
1
Kuungua nyumba na hoteli za kitalii.
161
2.
20
3.
90
4.
46
5.
Moto wa magari.
35
6.
Moto wa majaa.
32
7.
41
8.
19
9.
38
67
JUMLA
482
Kiambatanisho namba 9
SHAHADA
YA
UZAMIVU
KE
ME
SHAHADA YA
UZAMILI
KE
ME
KE
ME
STASHAH
ADA
CHETI
KE
KE
ME
JUMLA
ME
2.
SHAHADA
IDARA
YA
MIPANGO,
SERA
11
NA
UTAFITI
3.
IDARA
YA
URATIBU
TAWALA
ZA
1
TUME
YA
UTUMISHI
YA
IDARA
URATIBU
WA
IDARA
MAALUM
5.
IDARA
YA
MAALUM.
6.
7.
8.
1
2
1
2
2
2
6
7
2
10
68
9.
10.
12.
1
6
BARAZA LA MANISPAA
2
14.
10
5
1
13.
11.
15.
16.
17
YA
WILAYA
1
MAGHARIBI
18.
19.
20.
HALMASHAURI
YA
WILAYA
YA
69
KASKAZINI A
21.
HALMASHAURI-
WILAYA
YA
1
KASKAZINI B
22.
HALMASHAURI YA WILAYA YA
MKOANI
23.
CHAKE.
24.
25.
HALMASHAURI
WILAYA
YA
MICHEWENI
26.
KIKOSI
MAALUM
CHA
28.
12
10
10
IDARA
YA
CHUO
CHA
21
62
11
37
52
42
MAFUNZO
1
30
(MFZ).
29
KUZUIA
MAGENDO (KMKM).
27.
KIKOSI
CHA
VALANTIA
20
ZANZIBAR
(KVZ).
JUMLA
2
15
13
44
24
29
229
70
Kiambatanisho namba 10
MAKADIRIO KWA MAFUNGU
MUHTASARI WA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
MATUMIZI
FUNGU
TAASISI
MISHAHARA
OC
RUZUKU
D01
D02
D03
D04
D05
D06
D07
D08
D09
D10
D11
MIRADI YA
MAENDELEO
JUMLA
OFISI ZA
MAKAO
MAKUU
JESHI LA
KUJENGA
UCHUMI (JKU)
1,807,800,000
1,153,500,000
1,500,000,000
18,000,000,000
22,461,300,000
10,616,500,000
839,900,000
11,456,400,000
CHUO CHA
MAFUNZO (MF)
7,586,600,000
1,383,400,000
250,000,000
9,220,000,000
12,686,100,000
2,448,400,000
1,242,000,000
16,376,500,000
4,423,700,000
487,400,000
4,911,100,000
6,274,300,000
425,600,000
827,200,000
7,527,100,000
915,100,000
722,100,000
1,637,200,000
864,700,000
398,900,000
1,263,600,000
872,400,000
401,000,000
1,273,400,000
723,000,000
413,400,000
782,000,000
1,918,400,000
798,000,000
445,800,000
330,500,000
1,574,300,000
KIKOSI
MAALUM CHA
KUZUIA
MAGENDO
(KMKM)
KIKOSI CHA
ZIMAMOTO NA
UOKOZI (KZU)
KVZ
MKOA WA
MJINI
MAGHARIBI
MKOA WA
KUSINI
UNGUJA
MKOA WA
KASKAZINI
UNGUJA
MKOA WA
KUSINI PEMBA
MKOA WA
KASKAZINI
71
PEMBA
D12
AFISI YA
MRAJI WA
VIZAZI, VIFO
NA KADI ZA
UTAMBULISHO
812,400,000
1,277,500,000
2,089,900,000
48,380,600,000
10,396,900,000
2,612,500,000
20,319,200,000
81,709,200,000
72
73