You are on page 1of 9

HAKI YA KUPATA MSHAHARA

Haki ya kupata mshahara ni moja kati ya haki anazostahili kuzipata kila Mtanzania aliyeajiriwa. Ibara ya 23(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tan ania ya 1!"" inasema kuwa kila mfanyakazi anastahili kulipwa mshahara unaolingana na kazi anayoifanya, uwezo wake wa kufanya kazi, kiasi na sifa za kazi anayoifanya. Ibara 23(2) inaendelea kusema kuwa mshahara huo unatakiwa kuwa ni wa haki. Haki hii pia inapatikana katika sheria mpya za kazi katika sekta binafsi, yaani Sh#ria ya A$ira na Mahu%iano Ka i ya 2&&' pamoja na Sh#ria ya Taa%i%i a Ka i ya 2&&'( Sheria hizi mbili zina vifungu ambavyo vinampatia mfanyakazi, aliye katika sekta binafsi, haki ya kupata mshahara. Mathalan, )i*ungu cha 2+ ,ha Sh#ria ya A$ira na Mahu%iano Ka ini kinatoa ufafanuzi wa jinsi ya kukokotoa mshahara wa kima cha chini, )i*ungu ,ha 2" cha sheria hiyo hiyo kinaeleza utaratibu wa kufuatwa na mwajiri wakati wa kumlipa mfanyakazi wake mshahara ilhali )i*ungu ,ha 2 cha sheria hiyo kinaelezea utaratibu utakaofuatwa na mwajiri wakati anataka kufanya makato katika mshahara wa mfanyakazi wake. !ile vile- .i*ungu .ya 3+(1) (a) na 3" vya Sh#ria ya Taa%i%i a Ka i ya 2&&'vikisomwa kwa pamoja, vinampatia "aziri anayehusika na masuala ya kazi jukumu la kupanga kiwango cha kima cha chini cha mshahara anaostahili kupata kila mfanyakazi aliyeajiriwa katika sekta binafsi. #atika kulitekeleza jukumu hilo, mpaka sasa, tangu kuanza kutumika kwa Sh#ria ya Taa%i%i a Ka i ya 2&&' $esemba 2%%&, mawaziri wanaohusika na masuala ya kazi katika nyakati tofauti wameshatoa matamko matatu ya kima cha chini cha mishahara ya wafanyakazi katika sekta binafsi. 'amko la kwanza lilitolewa (ktoba mwaka 2%%), la pili lilitolewa *prili 2%+% na la tatu lilitolewa ,uni 2%+-.1 Hivyo, kima cha chini cha mishahara ya wafanyakazi katika sekta binafsi kwa sasa ni kile kilichotajwa katika 'amko la Mishahara la ,uni 2%+-, ambalo tunaliambatanisha hapa chini kwa ajili ya marejeo.

1 #wa marejeo zaidi na kutaka kuelewa vizuri viwango vya mishahara vilivyowekwa katika 'amko la *prili 2%+%, tembelea sehemu iliyoandikwa SH/RIA- KA0U0I- MI102131 YA MASUA4A YA KA3I iliyopo katika blogu hii.

You might also like